Scan With Your Mobile
to Get it Handy
Kazi kazi
Masomo yote
Nina ushukuru uongozi wa shule yangu ya msingi kwani umekuwa msaada kwangu katika swala zima la kunifanya niweze kujua kusoma na kuandika pia stadi za kazi nilizo fundishwa shuleni zime kuwa msaada kwangu kwenye kujua mazingira na kujifunza vitu vilivyopo nje ya shule