Details
Nina ujuzi wa kuweka skiming kwenye nyumba kwa kuzingatia ubora wa kisasa na kufanya nyumba iweze kupendeza, pia nina zingatia ubora wa rangi na mteja wangu nina mpatia ushauri bure kabisa na pia mteja anapatiwa orodha nzima ya vifaa vitakavyo tumika na gharama kwa ujumla na tuna hakiki kazi ina kamilika kwa muda tulio kubaliana
Quality & Control Plan
Safety Control
Tuna fanya kazi zote site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa rangi
Tuna zingatia ubora wa vifaa vya kazi
Budget Control
Mteja wetu anapatiwa gharama nzima ya uwekaji wa skiming
Schedule Control
Tuna zingatia muda tulio kubaliana na mteja wetu
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu
Chronology
Published2 Sep 2024
Modified2 Sep 2024
AuthorWilliam Mabway