Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 9.49 / Days Days
Duration
20 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Days)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Jacob Wamile
Jacob Wamile
Builder Click here to WhatsApp the provider!

Details

Mimi ni fundi ninayefanya painting kwenye nyumba aina zote nyumba za watu maofisi makampuni kwa ubora kabisa na kwa bei nafuu na kwa kuzingatia viwango bora na kutumia bidhaa bora na uzoefu zaidi wa miaka minne katika kazi hii ya upigaji wa rangi nimefanya kazi ndani ya mgonjwa nje ya mkoa wa njombe na mikoa yote tunafika

Materials Included

  • Rangi (Room)

Quality & Control Plan

Safety Control Kwa uvaaji wa kofia ngumu gloves na mabuti
Quality Control Kwa kutumia bidhaa zenye kuaminika kama vile rangi
Budget Control Kutumia bidhaa ambavyo vitaokoa bajeti
Schedule Control Kuwahi kufika site kwa wakati sahihi Kuhakikisha muda uliopangwa unazingatia kabla ya kukabidhi kazi
Satisfaction Control Mteja kukagua tuliompa tukiwa site na kabla ya kuondoka site

Category

Painting

Chronology

Published4 Sep 2024

Modified4 Sep 2024

AuthorJacob Wamile

Tags

No tags available

Service Data

Category
Painting
Type
Physical Work
Rate
USD 9.49 / Days
Duration
20 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Jacob Wamile
Comments
No reviews recorded