Mimi ni fundi ninayehusika na mambo ya skimming kwenye nyumba yako tunafanya sikini kwenye nyumba ina zote maofisi ni makampuni madarasa ina uzoefu katika kazi hii nimefanya kwa miaka minne imefanya kazi nyingi mkoani njombe makambako hapa njombe popote tunafika kwa uaminifu mkubwa kabisa na bei ni nafuu
Published4 Sep 2024
Modified4 Sep 2024
AuthorJacob Wamile