Details
Tunaweka tiles kwa kutengeneza maua ya aina tofauti ili kupendezesha nyumba.
Quality & Control Plan
Safety Control
kuhifadhi tiles katika sehemu nzuri kuepusha kuvunjika kabla kazi haijaisha
Quality Control
kutumia vifaa maalumu katika kukata tiles ili kutengeneza maua mazuri na kufanya kazi kupendeza
Budget Control
Kuwa na vibarua wachache wenye uelewa wa haraka na kufanya kazi kwa muda mfupi.
Schedule Control
Kufanya kazi kila siku kuanzia asubuhi hadi jioni
Satisfaction Control
Kumsikiliza maelezo ya mteja kwa umakini na kufanya kazi kwa matakwa yake.
Chronology
Published12 Aug 2024
Modified12 Aug 2024
AuthorJasse Rajabu