Details
Mimi ni fundi ninayefanya kuweka tyleys kwenye ukuta chooni na kusakafuni kwa bei poa kabisa tunafika mikoa yote na uzoefu zaidi ya miaka saba katika kazi hii nilifanya kazi nyingi mafinga mjini iringa wengine wote wamefanya kazi kwenye majumba ya watu maofisi ni kwa kuzingatia ubora mkubwa na uzoefu nilio nao
Quality & Control Plan
Safety Control
Sikukuvaa vifaa vya kujenga magorofa mabuti pamoja na kofia ngumu
Quality Control
Kuzingatia uchanganyaji bora wa sementi na mchamba ili kuhakikisha zinashika kwenye sakafu bila kuacha nafasi ndani
Budget Control
Katika hifadhi ya ubora wa bei nafuu ili kuweza kwenda sawa na bajeti
Schedule Control
Kuwahi kufika site kwa wakati
Satisfaction Control
Mteja kukagua kutoa mawazo na kurekebisha tukiwa na kabla ya kuondoka site
Chronology
Published27 Aug 2024
Modified27 Aug 2024
AuthorNoeli Mwakaji