Details
Mimi fundi Khamisi ni fundi niliye na uzoefu katika kuweka tilis na kufanya lforing kwenye nyumba yako napatiakana mkoani Iringa ila mikaoa yote nafika na bei zetu ni nafuu kabisa
Quality & Control Plan
Safety Control
kwa kuvaa vifaa vya kijikinga kama gloves buti na kofia ngumu
Quality Control
kwa kutumia vifaa kutoka kwa watu wakuaminika
Budget Control
kwa kuzingatia bei ya bidhaa na ubora
Schedule Control
kwa kufika site kwa wakati na kuzingatia mda
Satisfaction Control
kwa kukagua kabal ya kuonoka site
Chronology
Published26 Aug 2024
Modified26 Aug 2024
AuthorKhamis Issa