Details
mim ni fundi niliye fanya kazi katika sehemu ti
ofauti tofauti kwa kuweka urembo katika makampuni au majumbani kwa watu nina uzoefu wa muda mrefu na nina fika mikoa yote
Materials Included
- cement (Room)
- mchanga (Per Contract)
Quality & Control Plan
Safety Control
kwa kuvaa gloves ili kuzuia athari zinazoweza sababishwa na cement
kwa kuvaa kofia ngumu na mabuti sanasana kwa nyumba za maghorofa
Quality Control
kwa kuzingatia viwango vya uchanganyaji wa cement
kwa kutumia vifaa vya kisasa vyenye kuongeza ufanisi
Budget Control
kwa ktumia material imara kwa bei nafuu
Schedule Control
kwa kutumia vifaa vya kisas vitakavyo rahisisha kazi na kuokoa mda
kwa kufika site kwa muda na ikiwezekana kwenda extra time
Satisfaction Control
kwa kumruhusu mteja kuja kukagua site ndan ya mda fulani ili kuridhiswa na ubora
Category
Interior Designing
Chronology
Published22 Aug 2024
Modified22 Aug 2024
AuthorRamadhani Ndigwa