Details
mimi ni fundi mzuri katika uwekaji wa tailis katika nyumba na nina uzoefu mkubwa sana katika kazi hii imefanya ndani ya dar na baadhi ya mikoa tanzania kama arusha na tanga na atu wamekuwa wakiielewa kazi yangu nzuri
Quality & Control Plan
Safety Control
kuvyaa vifaa vya kujikinga kama gloves masks na mabuti
Quality Control
kuzingatia viwango vya uchanganyaji
Budget Control
kuzingatia ubora na bei ya vifaa vya kutumia
Schedule Control
kufika kwa wakati site
kutumia vifaa vya kisasa ili kuokoa mda
Satisfaction Control
mteja kukagua tukiwa na kabla ya kuondoka site
Chronology
Published22 Aug 2024
Modified22 Aug 2024
AuthorRamadhani Ndigwa