Details
Kazi zangu niza ubora wa hali ya juu na ubunifu wa kisasa pia kazi zangu zina zingatia vipimo na kabla sijaanza kazi lazima nilipime vyema eneo langu la kazi na kumpatia mteja wangu makadirio ya gharama zitakazo tumika katika uwekaji wa tiles na pia mteja na mpatia ushauri bure kabisa wa aina nzuri ya tiles ambayo inafaa kulingana na nyumba yake anavyotaka iwe, pia nina hakikisha kazi yangu ina kamilika kwa muda tulio kubaliana.
Materials Included
- tiles (Sq Metre)
- cement (Per Kilogram)
- mchanga (Per Tonne)
Quality & Control Plan
Safety Control
shuguli za uwekaji wa tiles zinafanyika site hivyo usalama ni wa kutosha kabidsa.
Quality Control
nina zingatia vipimo
nin zingatia uchanganyaji mzuri wa cement na mchanga
Budget Control
mteja anapatiwa makadirio ya gharama zitakazo tumika kabla ya kuanza kazi.
Schedule Control
nina hakikisha kazi ina kabidhiwa kwa mteja kwa muda tulio kubaliana.
Satisfaction Control
nina hakikisha mteja ana ridhishwa na utendaji wangu wa kazi pia namsikiliza kwa ushauri.
Chronology
Published1 Aug 2024
Modified1 Aug 2024
AuthorAthuman Mochiwa