Details
Nina ujuzi wa kutengeneza mabanda ya kuku ambayo yana uwezo wa kuingia kuku kuanzia mia na zaidi kwa kuzingatia ujuzi na ubunifu wa kisasa, pia nina tumia vifaa imara ambavyo vina nisaidia kwenye swala zima la kujenga banda langu pia nina hakikisha mteja wangu namsikiliza kwa kile anacho kitaka na pia nina hakikisha mteja ana patiwa gharama nzima za utengenezaji wa banda la kuku na Bata na kuhakikisha mteja ana kupenda na mwisho kabisa tuna zingatia muda wa kumaliza kazi zetu.
Materials Included
- Tofali (300 Item)
- Wire mash (6 Metre)
- Wavu (15 Metre)
- Mbao (30 Metre)
- Mbao (30 Metre)
- Mbao (2 Metre)
Quality & Control Plan
Safety Control
Kazi za ujenzi wa banda zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Nina zingatia ubora wa ujenzi wa banda
Budget Control
Nina zingatia kumpatia mteja wangu gharama nzima zitakazo tumika kwenye ujenzi huo
Schedule Control
Nina mpatia mteja muda wa kukamilisha kazi
Satisfaction Control
Nina hakikisha mteja wangu ana ridhika na kazi zangu
Category
Carpentry, Masonry, Wood Work, House Building
Chronology
Published10 Sep 2024
Modified10 Sep 2024
AuthorNicodemus Gard