Nina kuwekea tiles na marble kwenye nyumba yako au ofisi yako Kwa ubora wa viwango na kisasa Kwa kutumia vifaa vyangu binafsi ambavyo vina saidia kupima na kukata tiles na marble ili kuhakikisha nyumba ina pendeza na kuwa na mvuto,pia na mpatia mteja gharama ya material atakazo tumia pamoja na ushauri kulingana na aina ya kazi pale utakapo hitajika.
Published2 Aug 2024
Modified2 Aug 2024
AuthorCharles Michael