Details
Nina uzoefu wa kuweka tiles katika nyumba mbalimbali nchini. Naweka katika kubuni maua mbalimbali ili kupendezesha nyumba na kwa ubora mzuri kwa gharama nafuu
Quality & Control Plan
Safety Control
Kuweka tiles kwa uangalifu ili zisivunjike
Quality Control
Kutengeneza maua mazuri kupendezesha nyumba na kifanya kazi kwa weledi.
Budget Control
Kumaliza kazi kwa muda mfupi
Schedule Control
Kufanya kazi kila siku mpaka kazi itakapoisha
Satisfaction Control
Kukabidhi kazi muda maalumu
Chronology
Published28 Aug 2024
Modified28 Aug 2024
AuthorNelsoni Maganga