Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 15.18 / Sq Metre Sq Metre
Duration
10 Sq Metre Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Sq Metre)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Samir Koba
Samir Koba
Fundi rangi Click here to WhatsApp the provider!

Details

Ninatoa huduma ya kufanya brandering pamoja na kuweka gypsum board Kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa kwani nina msikiliza mteja wangu kwa kile anacho kihitaji,pia nina mpatia bajeti nzima ya kazi na nina ambatana na mafundi wangu wenye ujuzi na ubunifu wa hali ya juu pia nina hakikisha nina mfanya mteja wangu aweze kuridhika na kazi zetu na pia ninatumia vipimo kwenye kufanya brandering na rangi nzuri za kufanya finishing ya gypsum board na nina hakikisha kazi zote zina Isha kwa wakati.

Materials Included

  • Gypsum board (Item)

Quality & Control Plan

Safety Control Nina fanya shughuli za uwekaji wa gypsum board site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control Nina zingatia vipimo Nina zingatia ubunifu wa kisasa
Budget Control Mteja wangu ana patiwa gharama zote za ufanyaji wa brandering na gypsum board setting
Schedule Control Nina zingatia muda wa kuanza kazi na kumaliza
Satisfaction Control Nina hakikisha mteja wangu ameridhika na kazi zetu

Category

Brandering, Gypsum Decoration

Chronology

Published9 Sep 2024

Modified9 Sep 2024

AuthorSamir Koba

Tags

No tags available

Service Data

Category
Brandering, Gypsum Decoration
Type
Physical Work
Rate
USD 15.18 / Sq Metre
Duration
10 Sq Metre
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Samir Koba
Comments
No reviews recorded