Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 13.28 / Room Room
Duration
5 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Room)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Samir Koba
Samir Koba
Fundi rangi Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kisasa kwenye swala zima la upakaji wa rangi majumbani na maofisini pia na sehemu yeyote ile inayo hitaji huduma za upakaji wa rangi pia nina zingatia ubora wa kisasa na ubunifu wa viwango vya hali ya juu, pia nina msikiliza mteja wangu kwa kile anacho kitaka na nina hakikisha nyumba ina nawiri na inapendeza kabisa na pia nina ambatana na mafundi ambao wame bobea kwenye swala zima la ufanyaji wa kazi hizi za kupaka rangi na pia nina hakikisha kazi zina Isha kwa wakati na pia mteja wangu ana patiwa gharama nzima za upakaji wa rangi na kuhakikisha ameridhika kabisa na kazi yangu.

Materials Included

  • Rangi (Item)

Quality & Control Plan

Safety Control Nina fanya kazi zote site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control Nina zingatia upakaji mzuri wa rangi Nina zingatia ubunifu wa kisasa
Budget Control Nina hakikisha gharama zote anapatiwa mteja wangu
Schedule Control Nina hakikisha kazi zina Isha kwa wakati
Satisfaction Control Nina hakikisha mteja wangu ameipenda kazi yangu

Category

Painting

Chronology

Published9 Sep 2024

Modified9 Sep 2024

AuthorSamir Koba

Tags

No tags available

Service Data

Category
Painting
Type
Physical Work
Rate
USD 13.28 / Room
Duration
5 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Samir Koba
Comments
No reviews recorded