Details
Nina ubunifu wa kupaka rangi majumbani Kwa kutumia vifaa bora ambavyo vina saidia kwenye swala zima la upakaji wa rangi,pia mteja ni mfalme kwetu hivyo tuna mpatia ushauri wa rangi ambazo ni nzuri na hazi pauki na kumpatia mahesabu ya gharama zitakazo tumika kwenye upakaji wa rangi
Materials Included
- Msasa (20 Metre)
- Gypsum power (10 Item)
- White cement (4 Item)
- Mafuta ya taa (10 Item)
- Rangi ya ndani (4 Item)
- Rangi ya nje(weather guard) (3 Item)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za ujenzi zina fanyika hapo hapo site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control
Tuna hakikisha tuna fanya skimming na kupaka rangi vizuri
Tuna mshauri mteja atumie rangi zenye viwango vya kisasa
Budget Control
Tuna mpatia mteja gharama zitakazo tumika kwenye ujenzi
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi ina Isha Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ana ridhika na kazi zetu
Chronology
Published14 Aug 2024
Modified14 Aug 2024
AuthorOthman Kibangala