Details
Nina ujuzi wa kuweka gypsum decoration Kwenye nyumba na kufanya nyumba yako iwe na mvuto mzuri pia nina tumia vifaa bora na mteja ana patiwa ushauri pale unapo hitajika na kumpatia mahesabu ya vifaa vitakavyo tumika.
Materials Included
- Board (20 Sq Metre)
- Mbao (40 Sq Metre)
Quality & Control Plan
Safety Control
Shuguli zote za ujenzi zina fanyika site hivyo ulinzi ni wakutosha
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa gypsum board
Tuna zingatia vipimo na ubunifu wa kisasa
Budget Control
Mteja anapatiwa ushauri na gharama nzima ya material zitakazo tumika
Schedule Control
Tuna hakikisha kazi zina Isha ndani ya muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Mteja ana sikilizwa Kwa yeye alivyo ona huduma yetu
Category
Gypsum Decoration
Chronology
Published14 Aug 2024
Modified14 Aug 2024
AuthorOthman Kibangala