Details
Nina ujuzi wa kufunga wiringi majumbani Kwa kutumia njia Bora za kisasa na kwakutumia vifaa vya kisasa na waya imara ambazo haziwezi kupata shoti kirahisi na Nina mpatia mteja wangu bajeti nzima ya gharama zitakazo tumika na kumpatia ushauri pale unapo hitajika
Materials Included
- Waya (Per Second)
- Switch (Per Second)
Quality & Control Plan
Safety Control
Kazi zote zina fanyika eneo la kazi hivyo vifaa vina kuwa salama muda wote
Quality Control
Nina hakikisha natumia ubunifu Bora ili kuepusha shoti wakati wa kuweka umeme
Budget Control
Nina mpatia mteja wangu bajeti nzima itakayo tumika kwenye ufungaji wa wiringi
Schedule Control
Nina hakikisha namaliza kazi yangu Kwa muda tulio kubaliana na mteja wangu
Satisfaction Control
Nina hakikisha mteja wangu anaridhika na kazi yangu na kumsikiliza maoni yake
Chronology
Published12 Aug 2024
Modified12 Aug 2024
AuthorJustin Kamugisha