Details
Nina ujuzi waku chimbia box na bomba kwenye nyumba Kwa kutumia vipimo ambavyo vina niwezeshe kufanya kazi yangu Kwa ubora wa hali ya juu, pia nina msikiliza mteja anataka mifumo ya umeme ikaeje na kumpatia mahesabu ya bomba na boxi zitakazo tumika pia na ushauri pale unapo hitajika.
Materials Included
- Bomba za umeme (Per Second)
- Box (Per Second)
Quality & Control Plan
Safety Control
Kazi zote zina fanywa site hivyo ulinzi upo wakutosha muda wote
Quality Control
Nina tumia vifaa ambavyo vina nisaidia kupima sehemu za kuweka box na kuchimbia bomba
Budget Control
Tuna piga mahesabu ya idadi ya boxi na bomba zitakazo tumika kwenye kuchimbia
Schedule Control
Tuna hakikisha mteja wetu kazi yake inaisha kulingana na muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Mwisho mteja anasikilizwa yeye anaongeleaje kazi yetu na ushauri wake tuna usikiliza
Chronology
Published12 Aug 2024
Modified12 Aug 2024
AuthorJustin Kamugisha