Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 94.89 / Item Item
Duration
5 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Item)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Mwaimu Saidi
Mwaimu Saidi
Fundi aluminium Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kutengeneza milango ya aluminium ambayo inawekwa kwenye vyoo na sehemu mbalimbali ambazo zina uhitaji wa milango hiyo pia nina mafundi ambao wame bobea kwenye swala zima la utengenezaji na uwekaji wa milango ya aluminium pia nina msikiliza mteja wangu na kumpatia ushauri kwa kile anacho kihitaji pia mteja wangu ana patiwa gharama nzima za ujenzi na kazi zangu zina Isha kwa muda tulio kubaliana na mteja wetu.

Materials Included

  • Aluminium (Item)

Quality & Control Plan

Safety Control Kazi zote zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control Nina zingatia ubora wa vifaa Nina zingatia ubora wa vipimo
Budget Control Mteja wangu ana patiwa gharama nzima zitakazo tumika kwenye ujenzi huo
Schedule Control Nina zingatia muda wa kufanya kazi na kumaliza kazi
Satisfaction Control Nina hakikisha mteja wangu ana ridhika na kazi yangu

Category

Door Installation

Chronology

Published18 Sep 2024

Modified18 Sep 2024

AuthorMwaimu Saidi

Tags

No tags available

Service Data

Category
Door Installation
Type
Physical Work
Rate
USD 94.89 / Item
Duration
5 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Mwaimu Saidi
Comments
No reviews recorded