Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 34.16 / Item Item
Duration
30 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Item)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Bakari Saidi
Bakari Saidi
Fundi aluminium, madirisha,milango,na magirili Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina uzoefu wakutosha kwenye swala zima la kuchomelea na kutengeneza ma grili Kwa ubora na Kwa njia ya kisasa, pia nina msikiliza mteja wangu anahitaji nini na kumpatia mahesabu ya gharama atakazo tumia kulingana na idadi ya magrili

Materials Included

  • Bati gumu (Per Second)
  • Bomba za chuma (Per Second)

Quality & Control Plan

Safety Control Nina walinzi ambao Wana nisaidia kulinda ofisi yangu nyakati zote
Quality Control Nina hakikisha ubora wa kazi zangu ni wa kisasa Nina hakikisha natumia vifaa vya kisasa ili kazi yangu ivutie
Budget Control Nina andaa orodha ya gharama zote zitakazo tumika kwenye utengenezaji wa magrili
Schedule Control Nina hakikisha mteja wangu ana pokea kazi yake Kwa wakati
Satisfaction Control Nina msikiliza mteja wangu ana ongeleaje kazi yangu na kama kuna changamoto nina suluhisha

Category

Door Installation, Welding, Window Installation

Chronology

Published7 Aug 2024

Modified7 Aug 2024

AuthorBakari Saidi

Tags

No tags available

Service Data

Category
Door Installation, Welding, Window Installation
Type
Physical Work
Rate
USD 34.16 / Item
Duration
30 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Bakari Saidi
Comments
No reviews recorded