Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 75.91 / Item Item
Duration
1 Item Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Item)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Bakari Saidi
Bakari Saidi
Fundi aluminium, madirisha,milango,na magirili Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ujuzi wa kupima na kutengeneza madirisha ya aluminium pamoja na kuya weka kwenye nyumba kwa umakini mkubwa na Kwa ubora zaidi ,pia nina mpigia mteja gharama ya madirisha nitakayo mtengenezea, pia mteja ana nafasi ya kuchagua aina ya dirisha analo hitaji na nina vifaa vyangu mwenyewe vinavyo niwezesha kwenye ujenzi na utengenezaji wa madirisha

Materials Included

  • Aluminium (Per Second)

Quality & Control Plan

Safety Control Nina ofisi nzuri ambayo ina store za kuhifadhi madirisha yangu ya aluminium pia nina walinzi ambao Wana nisaidia kulinda ofisi yangu nyakati zote
Quality Control Nina hakikisha Nina msikiliza mteja Kwa Aina ya dirisha analo hitaji Nina hakikisha natumia vipimo kupima na kukata dirisha Nina hakikisha Nina tumia ubunifu ili kazi yangu iwe tofauti na ya wengine
Budget Control Nina andaa orodha nzima ya gharama zitakazo tumika na kumpatia mteja wangu
Schedule Control Nina hakikisha mteja ana pata kazi yake Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control Mwisho Nina chukua maoni Kwa mteja wangu kulingana na ubora wa kazi yangu

Category

Glass Tinting, Window Installation

Chronology

Published7 Aug 2024

Modified7 Aug 2024

AuthorBakari Saidi

Tags

No tags available

Service Data

Category
Glass Tinting, Window Installation
Type
Physical Work
Rate
USD 75.91 / Item
Duration
1 Item
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Bakari Saidi
Comments
No reviews recorded