Details
Nina uzoefu wa kuweka aluminium milangoni Kwa njia ya kisasa na Kwa ubora zaidi pia nina msikiliza mteja wangu na kumpatia mahesabu ya gharama zitakazo tumika na mwisho natoa ushauri bure kabisa
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina sehem nzuri za kuhifadhi milango yangu ya aluminium na Nina walinzi ambao Wana nisaidia kulinda ofisi yangu nyakati zote
Quality Control
Nina hakikisha nina chukua aluminium zenye ubora zaidi na imara ili kuFanya mlango uwe imara
Budget Control
Nina piga gharama nzima ya aluminium zitakazo tumika kwenye utengenezaji wa milango
Schedule Control
Nina hakikisha kazi inaisha ndani ya muda tulio pangiana Mimi na mteja
Satisfaction Control
Nina muuliza mteja wangu juu ya huduma yangu na kumsikiliza Kwa ushauri
Category
Door Installation, Glass Tinting
Chronology
Published6 Aug 2024
Modified6 Aug 2024
AuthorMsafiri Andrew