Details
Nina ujuzi wa kutengeneza na kuweka milango ya chooni Kwa kutumia aluminium Kwa njia ya kisasa na kwakutumia vifaa vyangu Mimi mwenyewe binafsi ,pia nina msikiliza mteja ana taka mlango uwe wa aina gani, natumia vipimo kupima eneo la mlango wa Choo na kumpatia mahesabu ya gharama zitakazo tumika kwenye ujenzi
Materials Included
- Aluminium (Per Second)
- Malini board (Per Second)
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina ofisi nzuri ambayo ina store za kuhifadhi milango ambayo nime itengeneza
Nina walinzi ambao Wana nisaidia kulinda ofisi yangu nyakati zote
Quality Control
Nina zingatia ubora wa aluminium
Nina zingatia ubora wa Malini board
Budget Control
Nina mpatia mteja wangu bajeti nzima itakayo tumika
Schedule Control
Nina hakikisha mteja ana pata kazi yake Kwa muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
Nina hakikisha Nina msikiliza mteja anaongeleaje huduma yangu
Category
Door Installation, Glass Tinting
Chronology
Published7 Aug 2024
Modified7 Aug 2024
AuthorBakari Saidi