Nina ujuzi wa kuweka urembo kwenye gypsum board, ambapo tunaweka brandering, boards na skimming kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa. Pia, ninafanya kazi na mafundi wenye uzoefu katika uwekaji wa urembo na upakaji wa rangi, huku tukihakikisha kazi inaisha kwa wakati na mteja anaridhika kabisa na kazi zetu. Aidha, mteja anapatiwa ushauri kuhusu aina ya rangi ya kutumia na pambo linaloleta mvuto kwenye nyumba. Pia, mteja anapewa gharama kamili ya uwekaji wa urembo na upakaji wa rangi.
Published4 Sep 2024
Modified4 Sep 2024
AuthorLusia Malulu