Nina ujuzi wa kutengeneza tv show case Kwa ubora na ubunifu wa hali ya juu na kuacha chumba au sebule yako ikiwa ina mvuto wa hali ya juu, nina tumia gypsum board kwenye utengenezaji wa kuta za tv na pia nina weka urembo wa aina mbali mbali ili kufanya kuta iweze kupendeza pia mteja ana ulizwa ana pendekeza kuta yake ya tv iweje na kupatiwa ushauri pale unapo hitajika pia mteja ana patiwa gharama nzima zitakazo tumika kwenye ujenzi huo.
Published4 Sep 2024
Modified4 Sep 2024
AuthorLusia Malulu