Details
Nina ujuzi wa kuweka urembo kwenye nyumba na kufanya muonekano wa nyumba yako ubadilike kabisa na kuwa nzuri yenye mvuto kwakutumia ubunifu,na vifaa vyangu bora pia nina mpatia mteja wangu gharama itakayo tumika kwenye ujenzi na kumpatia ushauri ni bure kabisa
Materials Included
- Mchanga (Per Second)
- Cement (Per Second)
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina hakikisha vifaa vyote vya kazi vina kaa sehemu nzuri inayo onekane ili kusaidia visiweze kuibuwa au kuvunjika
Quality Control
Nina hakikisha nafanya kazi yangu Kwa ubunifu mkubwa na kisasa zaidi
Budget Control
Nina hakikisha nampatia mteja wangu gharama nzima ya matumizi nitakayo ya hitaji wakati wa ujenzi
Schedule Control
Nina hakikisha namaliza kazi yangu ndani ya muda tulio kubaliana na mteja
Satisfaction Control
Nina sikiliza mteja wangu anaongeleaje kazi yangu na kuuchukua ushauri wa mteja wangu na kuufanyia kazi
Category
Building Designing, Plastering
Chronology
Published9 Aug 2024
Modified9 Aug 2024
AuthorMkombozi Omari