Details
Nina ujuzi wa kujenga mabanda ya mifugo wa aina mbali mbali kama vile ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe na aina mbambali za mifugo kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa pia nina hakikisha mteja wangu ana ridhika na kazi yangu kwani nina mpatia ushauri bure kabisa na nina mpatia gharama nzima za ujenzi wa banda lake na kukamilisha kazi yangu kwa muda tulio kubaliana na nina hakikisha natumia vipimo kwenye ujenzi wangu mwanzo hadi mwisho wa kukamilisha kazi ya ujenzi.
Materials Included
- Cement (42 Item)
- Bati (20 Item)
- Mbao (90 Item)
- Mbao (32 Item)
- Misumari (4 Per Kilogram)
- Misumari (3 Per Kilogram)
- Misumari (12 Per Kilogram)
- Misumari (4 Per Kilogram)
Quality & Control Plan
Safety Control
Ulinzi ni wakutosha kwani kazi zote zina fanyika site
Quality Control
Ubora wa vipimo una zingatiwa
Budget Control
Mteja anapatiwa gharama nzima za ujenzi wa banda lake
Schedule Control
Tuna zingatia muda wa kuanza na kumaliza kazi
Satisfaction Control
Nina hakikisha mteja ana ridhishwa na kazi yangu
Category
Building Designing
Chronology
Published11 Sep 2024
Modified11 Sep 2024
AuthorJefferson Rusali