Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 94.89 / Sq Metre Sq Metre
Duration
20 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Countrywide Area
0.0
0
0
0
Quantity (Sq Metre)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Jefferson Rusali
Jefferson Rusali
Fundi wa mabanda ya mifugo Click here to WhatsApp the provider!

Details

Nina ubunifu wa kujenga mabanda ya kuku wa kienyeji na kisasa ambayo yana uwezo wa kuingiza kuku zaidi ya mia moja ,na pia nina zingatia vipimo katika ujenzi na ukataji wa mbao kwa umakini na kuhakikisha mteja wangu ana ridhishwa na kazi yangu pia Kabla ya kuanza kazi nina msikiliza mteja wangu yeye anataka banda la aina gani katika ujenzi wa banda hilo na nina mpigia mahesabu ya gharama zitakazo tumika hadi kukamilisha ujenzi wa banda hilo na ushauri kwangu ni bure kabisa kwa wateja wangu na nina zingatia muda wa kuanza kazi na kukabidhi kazi kwa wakati

Materials Included

  • Cement (42 Item)
  • Tofali (400 Item)
  • Mbao (90 Item)
  • Mbao (32 Item)
  • Mbao (10 Item)
  • Mbao (10 Item)
  • Wire mash (25 Metre)
  • Chicken wire roller (1 Metre)
  • Misumari (4 Per Kilogram)
  • Misumari (3 Per Kilogram)
  • Misumari (15 Per Kilogram)

Quality & Control Plan

Safety Control Kazi zote zina fanyika site hivyo usalama ni wakutosha
Quality Control Nina zingatia ubora wa kupima square meter za banda
Budget Control Nina mpatia mteja wangu gharama nzima za ujenzi wa banda
Schedule Control Nina hakikisha kazi ina kamilika kwa wakati
Satisfaction Control Nina msikiliza mteja wangu na nina hakikisha ameridhishwa na kazi yangu

Category

Building Designing

Chronology

Published11 Sep 2024

Modified11 Sep 2024

AuthorJefferson Rusali

Tags

No tags available

Service Data

Category
Building Designing
Type
Physical Work
Rate
USD 94.89 / Sq Metre
Duration
20 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Countrywide
Provider
Jefferson Rusali
Comments
No reviews recorded