Nina utaalam wa kujenga nyumba kwa kuzingatia ubora wa hali ya juu,pia nina tumia vipimo kuanzia kwenye msingi hadi mwisho wa kukamilisha kazi yangu ili kuhakikisha kazi ina kuwa yenye ubora na viwango vya hali ya juu pia nina hakikisha mteja wangu ana ridhishwa na kazi yangu pia niko na mafundi walio bobea kwenye swala zima la ujenzi na kazi inakuwa ya kisasa zaidi pia mteja kwetu ni mfalume na nina hakikisha ramani ya nyumba ina tengenezwa vizuri na kuhakikisha mteja wangu ana pata kile anacho kutarajia pia nina zingatia muda wa kuanza kazi na kumaliza kazi zangu
Published9 Sep 2024
Modified9 Sep 2024
AuthorFrancies Chitila