Details
Mimi ni fundi ninayefanya painting kubwa painting kwenye nyumba kwa kutumia rangi zenye kuaminika nifanye kazi nyingi sana dar es salaam
Quality & Control Plan
Safety Control
Kukuvaa kofia ngumu na mabuti
Quality Control
Kwa kuzingatia huu ubora wa bidhaa zitakazotumika
Budget Control
Kwa kutumia bidhaa bora zenye bei nafuu
Schedule Control
Wahi kufika site
Satisfaction Control
Nikija kukagua tunayempa tukiwa na kabla ya kuondoka zaidi
Chronology
Published28 Aug 2024
Modified28 Aug 2024
AuthorMijile Joseph