Details
Mimi ni fundi ninafanya sikini kwenye nyumba yako kuzingatia ubora kwa muda mzuri umefanya kazi nyingi sana dar es salaam na uzoefu mkubwa kabisa
Quality & Control Plan
Safety Control
Kwa kuwa vifaa vya kujikinga kama mabuti gloves na kofia ngumu
Quality Control
Kutumia bidhaa zenye kuaminika
Budget Control
Kuzingatia bei itasaidia bajeti kuwa ndugu
Schedule Control
Kwenda na makubaliano na kufika site kwa muda
Satisfaction Control
Mteja takagua bidhaa yake kabla ya kukabidhiwa
Chronology
Published28 Aug 2024
Modified28 Aug 2024
AuthorMijile Joseph