Tunafanya ujenzi wa kupendezesha nyumba Kwa kupiga plasta na kuweka urembo kwenye madirisha,nguzo za nyumba na ndani ya nyumba Kwa ubora kwa kutumia vifaa vyetu na mafundi wetu na tuna hakikisha tuna epusha mambo hatarishi yatakayo fanya nyumba kuwa na migongo iliyo pinda na kukosa muonekano na tuna weka decoration za kibunifu ndani na nje ya nyumba.
Published2 Aug 2024
Modified2 Aug 2024
AuthorPolito Mtiti