Tuna mafundi walio bobea kwenye uwekaji wa gypsum board, Kwa kutumia vipimo na ubunifu mkubwa wa kisasa pia tuna msikiliza mteja na kumpatai ushauri pale unapo hitajika na tuna andaa budget ya material zitakazo tumika na kumpatia mteja wetu
Published2 Aug 2024
Modified2 Aug 2024
AuthorPolito Mtiti