Details
Ujenzi wetu unazingatia vipimo na ubunifu wa kisasa, tuna nunua mawe ya tangastone, tuna kata na kujenga , pia tuna toa ushauri kulingana na aina ya nyumba yako na pia tuna tengeneza Kwa mionekano mbalimbali, pia tuna mpatia mteja makadirio ya gharama kabla yakuanza kazi na tuna hakikisha tunalipima vyema eneo lakazi na kumaliza kazi ndani ya muda tulio kubaliana na mteja wetu.
Materials Included
- burning brick (Item)
- tanga stone (Item)
- cement (Per Kilogram)
- mchanga (Per Tonne)
Quality & Control Plan
Safety Control
kazi za ujenzi zinafanyika site hivyo usalama ni wakutosha kabisa.
Quality Control
tunazingatia vipimo
tuna hakikisha cement na mchanga vime changanywa vizuri
Budget Control
mteja anapatiwa makadirio ya gharama za ujenzi kabla yakuanza kazi
Schedule Control
tuna hakikisha kazi ina kamilika na kukabidhiwa kwa muhusika ndani ya muda tulio kubaliana
Satisfaction Control
tuna hakikisha mteja ana ridhika na kazi yetu kwani tuna msikiliza kwa kile anacho kihitaji
tuna msikiliza mteja kwa maoni yake na kuya fanyia kazi
Chronology
Published31 Jul 2024
Modified31 Jul 2024
AuthorJuma Seifu