Tunatoa huduma za kuandaa michoro ya structural (michoro ya vyuma) kwa ajili ya jengo lako na nyumba ya kuishi familia. Huduma zetu zinajumuisha kutathmini michoro ya usanifu na kisha kuja na pendekezo la namna bora ya kuweza kuandaa structural system ya nyumba yako huku tukizingatia bajeti. Tunafanya mahesabu na kisha kuandaa michoro stahiki iliyopigwa mihuri ya structural engineer inayohitajika kwajili ya kazi.
Published25 Jul 2024
Modified25 Jul 2024
AuthorEng. Victor Salahot