Makazi Family
0 Sign In
Rate
USD 37.96 / Days Days
Duration
14 Days Time
Coverage
— Scope
Advance
30% Deposit
Payments
3 Installments
Boundary
Continental Area
0.0
0
0
0
Quantity (Days)
Get Quotation
Purchase Service

Client details

Total Amount
0.00
Yona Lwiva
Yona Lwiva
Site Engineer Click here to WhatsApp the provider!

Details

Tunatoa huduma kamili za ujenzi, marekebisho, na ukarabati wa mapaa ya vyuma kwa nyumba za kuishi, makanisa, vituo vya mafuta, godown, na majengo mengine katika mikoa yote ya Tanzania na Afrika Mashariki. Tunajivunia kuwa na timu imara ya mafundi wenye ujuzi na usimamizi thabiti.

HUDUMA TUNAZOTOA:
- Ujenzi, marekebisho, na ukarabati wa mapaa ya vyuma
- Kazi za ujenzi kwenye nyumba za kuishi, makanisa, vituo vya mafuta, godown, na majengo mengine

WATEJA TUNAOWAHUDUMIA:
- Wateja binafsi
- Biashara na makampuni
- Taasisi na mashirika ya umma

NJIA ZETU ZA KAZI:
- Gharama zetu zinategemeana na mradi na pia makubaliano na mteja
- Mfumo wetu wa kazi unategemea mahitaji na taratibu za kitaalamu zilizowekwa
- Kazi zinafanywa kwa ubora wa hali ya juu, umakini, na weledi
- Tunahakikisha kila kazi inafanyika kwa muda stahiki na ubora

Tunahakikisha kufuata viwango vyote vya kitaalamu na kuhakikisha kuwa kila hatua ya mradi inatekelezwa kwa umakini mkubwa ili kutoa huduma bora na yenye thamani kwa wateja wetu.

Quality & Control Plan

Safety Control Kuhakikisha mafundi wanavaa zana za usalama kama mabuti, mikanda ya usalama, kofia

Category

Metal Work, Corrugated Sheet Roofing, Steel Trussing, Steelwork

Chronology

Published10 Jul 2024

Modified10 Jul 2024

AuthorEng. Yona Lwiva

Tags

No tags available

Service Data

Category
Metal Work, Corrugated Sheet Roofing, Steel Trussing, Steelwork
Type
Physical Work
Rate
USD 37.96 / Days
Duration
14 Days
Advance Payment
30%
Number of Payments
3
Boundary
Continental
Provider
Eng. Yona Lwiva
Yona Lwiva |
0.0 (0)
| 1 Services
No other services found.
Comments
No reviews recorded