Natengeneza milango,na madirisha ya kisasa Kwa kutumia vifaa vyangu binafsi pamoja na mafundi wangu pia namsikiliza mteja achague aina anayo itaka ikiwemo urembo wa kuweka na tuna tengeneza madirisha ya futi mbalimbali Kama vile (5×5, 5×6, 6×6) na milango(grili) double na single Kwa gharama na fuu sana na tuna weka vitasa.
Published30 Jul 2024
Modified30 Jul 2024
AuthorSteven Zuberi