Nina ujuzi wa kujenga nyumba pia nina mafundi wazoefu kuanzia hatua ya msingi Hadi lenta na pia tuna kupigia plasta kwa gharama na fuu sana ,pia tuna hakikisha msingi umenyooka na ni imara kwani tuna tumia vifaa kama kamba manila,mbao za kusetia kusaidia kunyoosha msingi na tuna changanya mchanga na cement vizuri hivyo kusaidia msingi na ukuta kutokuwa na nyufa.
Published30 Jul 2024
Modified30 Jul 2024
AuthorSteven Zuberi