Details
Mimi ni fundi ninayofanya ujenzi wa nyumba yako kuanzia msingi kupanga matofali kufanya lintering wa miaka kumi nimefanya kazi nyingi sana mafinga tunafika
Materials Included
- Matofali (Per Contract)
- Cement (Room)
Quality & Control Plan
Safety Control
Kukuva vifaa vya kujikinga kama kofia ngumu gloves pamoja na mabuti
Quality Control
Kuzingatia ubora wa uchanganyaji wa cement na kokoto ili kuimarisha
Kuzingatia upangaji mzuri wa matofali ili kurahisisha kutokubomoka kwake
Budget Control
Kutumia vifaa kama vile cement matofali kutoka sehemu zenye kuamini
Schedule Control
Kutoka site
Satisfaction Control
Sijakukagua nyumba yake tukiwa site na kabla ya kuondoka site
Chronology
Published27 Aug 2024
Modified27 Aug 2024
AuthorJames Mtwere