Details
Mimi nifunge ninayefanya kazi ya kupa huwa nyumba kwa kutumia mabati aina zote ubora na uzoefu nilio nao nimefanya kazi sehemu tofauti tofauti ndani ya mkoa wa iringa mafinga napokuta tunafika busy tunafunga kabisa na tunazingatia ubora
Materials Included
- Mabati (Room)
- Misumari (Room)
- Nyundo (Days)
Quality & Control Plan
Safety Control
Kwa kuvaa vifaa vya kujikinga kama kofia ngumu magoti pamoja
Quality Control
Kwa kutumia vifaa mabati kutoka sehemu za kuaminika na teknolojia katika weka jumabati ya
Budget Control
Kwa kuzingatia ununuaji wa bidhaa kwa bei nafuu na yenye kukithiriwa
Schedule Control
kufika saiti kwa wakati
Satisfaction Control
Mteja atakagua nyumba yake tukiwa site na kabla ya kuondoka ya kuondoka site
Category
Corrugated Sheet Roofing
Chronology
Published27 Aug 2024
Modified27 Aug 2024
AuthorJames Mtwere