Details
Kwa uwekaji bora wa mabati ya migongo midogo katika nyumba yako ya aina yeyoyote ile kwa kuingatia namna bora ya uwekaji na ubora na uzoefu wa miaka zaidi ya mnne na kwa bei nafuu kabia na uaminifu mkubwa na nimefanya kazi nyingi njombe na moeogoro hivy ninauzoefu kubwa sana katika kazi hii ya upauaji
Materials Included
- Mabati (Room)
- Misumari (Room)
Quality & Control Plan
Safety Control
Kuvaa vifaa vya kujikinga kama glovrs na kofiua ngumu
Quality Control
Kutumia mabati yenye kuaminika
Budget Control
Kutumia vifaa nafuu kuokoa bajeti
Schedule Control
Kifikasite kwa wakati
Satisfaction Control
Kukagua nyumba kabla ya kumkabidhi
Category
Corrugated Sheet Roofing
Chronology
Published11 Sep 2024
Modified11 Sep 2024
AuthorGodfrey Nchimbi