Details
Nina toa huduma ya ufungaji wa mapaa kwa kutumia mabati ya msouth nafika mikoa yote hapa Tanzania pia niko na wasaidizi ambao Wana nisaidia katika kuwezesha swala zima la uwekaji wa mabati na kuliacha paa lako likiwa zuri kabisa na lenye mvuto
Materials Included
- Mabati (Item)
- Misumari ya paa (Per Kilogram)
Quality & Control Plan
Safety Control
Nina zingatia ulinzi kwani shughuli zote za uwekaji wa paa zinafanyika site
Quality Control
Nina zingatia ubora wa paa
Nina zingatia vipimo kwenye ukataji wa mabati
Budget Control
Mteja anapatiwa gharama nzima zitakazo tumika kwenye uekaji wa paa
Schedule Control
Tuna zingatia muda
Satisfaction Control
Tuna hakikisha mteja ameridhika na kazi yetu
Category
Corrugated Sheet Roofing, Shingle Roofing
Chronology
Published31 Aug 2024
Modified31 Aug 2024
AuthorFilipo Chitema