Scan With Your Mobile
to Get it Handy
Mabigwa wa kupaua mapaa tupo hapa
Masomo yote
Nina ushukuru uongozi wangu wa shule ya msingi kwani umekuwa msaada kwangu kweye swala zima la kunifundisha na nimeweza kujifunza na kujua kusoma na kuandika pia nimeweza kujifunza stadi za kazi ambazo zimenisaidia kwenye mazingira yanayo nizunguka