Details
Nina ujuzi wa kusuka Kenchi kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa pia niko na vifaa ambavyo vina niwezesha kufanya kazi yangu kwa ubora na ubunifu wa hali ya juu pia mteja ana sikilizwa kwa kile anacho kihitaji na ushauri ni bure kabisa
Materials Included
- Mbao (Item)
- Misumari (Per Kilogram)
Quality & Control Plan
Safety Control
Tuna hakikisha usalama wa kazi kwani shughuli za uwekaji Kenchi zinafanyika site
Quality Control
Tuna zingatia ubora wa mbao
Tuna zingatia vipimo vya nyumba
Tuna zingatia aina ya paa ambalo mteja ana lihitaji
Budget Control
Mteja wetu anapatiwa gharama nzima ya ufungaji wa kenchi
Schedule Control
Tuna zingatia mda tulio kubaliana kwenye kukabidhi kazi
Satisfaction Control
Mteja kwetu ni mfalume hivyo tuna hakikisha ana ridhishwa na kazi zetu
Category
Corrugated Sheet Roofing, Shingle Roofing
Chronology
Published31 Aug 2024
Modified31 Aug 2024
AuthorFilipo Chitema