Tunatoa Huduma za Ujenzi wa mapaa ya nyumba kwa kutumia vigae vya Decra, kutoa suluhisho bora kwa wateja wetu kote Tanzania na nchi jirani za Afrika. Kila mradi unazingatia viwango vya juu vya ufundi na usalama, na tunahakikisha kuwa paa linakuwa la kuvutia na la kudumu.
Muundo wa Huduma:
- Ushauri: Uchaguzi wa vigae bora na ushauri wa muundo wa paa kwa kuzingatia mchoro wa kitaalamu.
- Kenchi: Matumizi sahihi ya misumari na ufungaji wa mbao kulingana na ramani za kazi.
- Vigae: Kupiga vigae kwa umakini mkubwa na ufungaji wa migongo, facial boards, gutters, branderings na ceiling nje ya paa ktk over hangs!
Kwa kila hatua, Ally Ninga na timu yake wanahakikisha matokeo ya kudumu na ya kuvutia kwa wateja wetu. Tujenga paa imara, yanayovutia, na yanayostahimili hali ya hewa mbaya, kwa kufuata miongozo ya ufundi na kuhakikisha makubaliano ya awali yanazingatiwa kwa umakini.
Published13 Jul 2024
Modified13 Jul 2024
AuthorAlly Ninga