Njoo upate huduma bora katika ujenzi wa mapaa ya nyumba kwa kutumia bati za migongo mipana (IT4 na IT5) na za kawaida. Tunazingatia ubora, bajeti, umakini katika kila hatua ya upauaji, na kuhakikisha kuwa kazi inatekelezwa kwa ustadi na muonekano wa kuvutia. Tunahakikisha paa linanyooka na halivuji na linakuwa imara vyema.
Muundo wa Huduma:
- Ushauri: Uchaguzi wa aina ya bati inayofaa jengo letu katika brand na gauge.
- Kenchi: Matumizi sahihi ya misumari na ufungaji wa mbao kulingana na ramani za kazi.
- Bati: Kupiga bati kwa umakini mkubwa na ufungaji wa migongo, facial boards, gutters, branderings na ceiling nje ya paa ktk over hangs!
Kwa kila hatua, Ally Ninga na timu yake wanahakikisha matokeo ya kudumu na ya kuvutia kwa wateja wetu. Tujenga paa imara, yanayovutia, na yanayostahimili hali ya hewa mbaya, kwa kufuata miongozo ya ufundi na kuhakikisha makubaliano ya awali yanazingatiwa kwa umakini.
Published13 Jul 2024
Modified13 Jul 2024
AuthorAlly Ninga