Je, unahitaji kuweza kujenga nyumba yako? iwe ya biashara au kupangisha au ya kuishi na familia yako... basi wasiliana nami uweze kupata ushauri wako kulingana na mahitaji na bajeti yako ili uweze kutimiza nyumba ya ndoto yako. Nina uzoefu mzuri wa mambo ya ujenzi haswa nyumba za familia, pia nikiwa nimesomea mambo ya ujenzi ambao utakuwa nyongeza ktk kukupa ushauri ulio bora zaidi
Published28 Apr 2024
Modified28 Apr 2024
AuthorLwifunyo Mangula