Hire Builders

TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
30 years
Mimi ni fundi wa kuweka painting na gypsum design skimming painting s kwenye nyumba kubwa huu ubora wa hali ya juu na kukuzingatia nguvu vinavyohitajika na kwa bei nafu u
Gypsum Decoration Painting Plastering Wallpaper Installation
TZ
From TZS 40,000/day
Kinondoni
8 years
Mimi ni mtaalamu wa kufunga mabomba majumbani na sehemu yeyote Ile ambayo ina hitaji ufungaji wa mabomba ya maji, pia nina msikiliza mteja na kumpatia ushauri bure kabisa na pia kazi zangu ni za uhakika na ubora wa viwango vya juu kabisa.
Plumbing
TZ
From TZS 40,000/day
Kinondoni
9 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa muda mrefu Nina ujuzi wa kuweka tiles na urembo Kwa kutumia tiles kwenye nyumba yako, Nimesha fanya kazi sehemu nyingi hapa Tanzania na zote zimekuwa katika ubora wa hali ya juu pia gharama ni nafuu kabisa Kwa wanao hitaji huduma hii
Tiling
TZ
From TZS 50,000/day
Kigamboni
18 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa kutosha katika swala zima la uwekaji wa urembo wa nyumba na hotelini Kwa kutumia mbao na gypsum (gypsum decoration) Nina tengeneza sehemu kama vile sebuleni, jikoni,chumbani,TV show cases pia na fika mikoa yote kutoa huduma hii ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa Kwa ubora na ubunifu wa kisasa na toa ushauri bure kabisa.
Gypsum Decoration
TZ
From TZS 30,000/day
dar
11 years
mim ni fundi wa ufungaji wa mabomba maofisini majumbani na hata kwenye makampuni mbalimbali kwa kuzingatia ubora ulio na uaminifu mkubwa kama ilivyo kauli mbiu yetu
Plumbing
TZ
From TZS 20,000/day
Dar es ...
8 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa miaka nane katika uwekaji na fanyaji wa plumbing katika nyumba maofisi na makampuni kazi ya kuzingatia viwango na kwa ustadi mkubwa kwa bei nafuu kabisa
Tiling Plumbing Plastering
TZ
From TZS 40,000/day
Morogor...
7 years
Mimi ni fundi ninayefanya plastering skimming na uwekaji wa urembo kwenye nyumba yako kwakutumia mchanga na simenti pia nafanya painting kwenye nyumba yako na nina uzoefu wa zaidi ya miaka minane katika kazi na nimefanya kazi ndani na nje ya mkoa wa Morogoro
Paving Plastering
TZ
From TZS 15,000/day
songea ...
10 years
mimi Egno tembo ni fundi umeme mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka sita katika ufungaji wa maswala ya umeme napatikana songea mjini ila mikoani nako nafika
Wiring
TZ
From TZS 40,000/day
Ubungo
7 years
Mimi ni fundi ujenzi niliye bobea katika swala zima la uwekaji wa urembo kwenye nyumba kwa kutumia mchanganyiko wa mchanga na cement, Nina uzoefu wa kutosha nikiwa na fanya hii kazi na Nina tengeneza urembo wowote ule kulingana na mteja wangu anavyo taka.
Building Designing Plastering
TZ
From TZS 30,000/day
Nyakato
9 years
Fundi wa bomba za maji safi na maji taka katika nyumba aina zote.
Plumbing
TZ
From TZS 20,000/day
Njombe mji
7 years
Mimi ni fundi welding mwenye uzoefu wa miaka saba katika kazi ya welding, na miaka minne maalum katika PVC na alumini. Nimebobea katika ufungaji, matengenezo, na ukarabati wa vifaa vya PVC na alumini kwa uangalifu wa hali ya juu. Uzoefu wangu unaniwezesha kutoa suluhisho za ubora, kuhakikisha usalama wa kazi, na kutatua matatizo kwa ufanisi. Nina dhamira ya kutoa huduma bora na kuhakikisha kuridhika kwa wateja kwa matokeo yenye nguvu na ya kudumu.
Welding Window Installation
TZ
From TZS 40,000/day
Temeke
11 years
Mtaalamu wa urembo wa nyumba na bustani anayeishi Temeke, Dar es Salaam. Ameanza kazi za decorations mwaka 2014 na anajishughulisha na plasta decorations, gypsum board design, ujenzi wa mabwawa ya kuogelea, chemchemi za maji, maporomoko ya maji, kuweka tiles, kupaka rangi, na kubuni bustani. Pia anatengeneza sanamu za wanyama, ndege, majabali, na magogo.
Gardening Landscaping
TZ
From TZS 50,000/day
Kigamboni
15 years
Mimi ni mtaalam niliye bobea kwenye swala Zima la ufungaji wa solar majumbani na maofisini Kwa kutumia vifaa vilivyo imara na ubunifu wa kisasa zaidi pia nina ambatana na mafundi wenzangu ambao nao wame bobea kwenye kazi hii lengo ni kumtengenezea mteja wetu kile kilicho bora kabisa
Solar Electricity
TZ
From TZS 40,000/day
Irugus
5 years
Mimi ni fundi wa kuweka tilis katika nyumba yako kwa kuzingztia ubora wa kweli na kwa uzoefu na uaminifu mkubwa na kwa kuzingatia ubora na uzoefu wa zaidi ya miaka mitano
Tiling
TZ
From TZS 50,000/day
Ukonga
20 years
Fundi hamisi fundi wa dizaini kwenye nyumba yako finishing ya kibabe finishing aina yote ya gypsum painting ya rangi kwa nje wall decoration
Gypsum Decoration Drywall Installation
TZ
From TZS 30,000/day
Ilala
3 years
Ninatengeneza mabomba ya maji safi ya moto na baridi katika nyumba mbalimbali pamoja na mabomba ya maji taka katika nchi nzima.
Plumbing
TZ
From TZS 50,000/day
Ubungo
15 years
Mimi ni fundi nina ujuzi wa ujenzi kama vile kupiga plasta, kuweka urembo( decoration) za kibunifu za nje na ndani ya nyumba na Ku design dari Kwa gypsum (gypsum ceiling design) kazi hizi tuna zifanya kwa umakini na kisasa zaidi kwani tuna uzoefu wa muda mrefu
Gypsum Decoration Building Designing Plastering
TZ
From TZS 35,000/day
Njombe ...
8 years
Civil Engineer 👷 Building design & Drawing Construction services | consultancy | Exterior | Interior designing.
architectural Bricklaying building_inspector cabinetry Carpentry civil_engineer closet_design concrete_work construction_manager cost_estimator exterior_painting fencing Flooring inspection_services interior_designer interior_painting Landscaping Masonry Painting Plastering Plumbing project_manager repairs roofing woodworking
TZ
From TZS 30,000/day
Hai
9 years
Nina ujuzi wa kufanya skiming pamoja na kupaka rangi majumbani kwa kuzingatia ubora wa kisasa kwa ubunifu wa kisasa zaidi,pia nina toa ushauri bure kabisa kwa mteja wangu na kumfanya aridhike na kazi zangu
Painting
TZ
From TZS 40,000/day
Kigamboni
18 years
3 months
Mimi ni fundi ninaye jihusisha na swala zima la uchimbaji wa mashimo ya maji taka yasiyo jaa maji Kwa njia ya kisasa na Kwa kutumia eneo dogo, na mashimo Yana jegwa Kwa ubora hayatoi harufu, pia tuna weza kujenga sehemu zote za chemchem na miamba bila tatizo na technologia yetu imedhibitishwa kitaalamu na inafaa Kwa matumizi ya jamii pia tuna toa huduma hii mikoa yote ya Tanzania.
Soil Excavation Bricklaying
TZ
From TZS 40,000/day
Mkuranga
17 years
Mimi ni fundi ujenzi mwenye uzoefu na niliye bobea kwenye swala zima la kuchimba msingi wa nyumba na kujenga hadi kwenye linta pamoja na kupiga plaster Kwa kutumia vipimo na vifaa pia nina toa ushauri bure Kwa mteja wangu kulingana na aina ya nyumba anayo itaka Kwa kuzingatia ukubwa wa eneo lake
Building Setting Out Plastering
TZ
From TZS 30,000/day
Gongola...
13 years
3 months
Nina jihusisha na uwekaji wa tiles majumbani kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa pia kazi zangu zina zingatia vipimo na zina mvuto mzuri na nina uzoefu wa muda mrefu kwani nime fanya kazi na watu wengi tofauti tofauti pia namfikia mteja wangu popote pale Tanzania.
Tiling Plastering
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
11 years
Mimi ni fundi niliye bobea kwenye utengenezaji wa fremu na milango Kwa kutumia mbao ngumu kama vile mninga na mkongo kwa njia ya kisasa na Kwa gharama na fuu sana
Wood Work
TZ
From TZS 40,000/day
Kwimba
6 years
Mimi ni fundi urembo pamoja na kupaka rangi kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa pia nina fika mikoa yote pamoja na nchi jirani za Afrika pia nina msikiliza mteja wangu kwa kile ana cho kihitaji na ushauri ni bure kabisa kwa wateja wangu
Gypsum Decoration Painting
TZ
From TZS 50,000/day
Ubungo
18 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa kutosha katika swala zima la uezekaji wa Mapaa ya aina mbalimbali natoa huduma hii ndani ya Tanzania na nchi jirani za Africa Kwa ubora na ubunifu wa kisasa na pia na toa ushauri bure kabisa.
Sheet Roofing Shingle Roofing Tile Roofing
TZ
From TZS 50,000/day
Kigamboni
16 years
Nime bobea kwenye swala zima la upakaji wa rangi pamoja na kuweka epoxy floor zenye ubora na zenye mapambo ya aina mbalimbali pia nina uzoefu wa kutosha katika ufanyaji wa kazi hizi
Gypsum Decoration Painting
TZ
From TZS 40,000/day
Temeke
34 years
Ninahusika na kazi za Upigaji wa plasta pamoja na uwekaji wa urembo kwenye Kuta kwa kutumia cement na mchanga Ninauzoefu wa kufanya kazi ndani ya Dar es Salaam,mikoa mbali mbali ndani ya Tanzania
Tailoring Plastering
TZ
From TZS 30,000/day
Ilala
7 years
Mimi ni fundi niliye bobea kwenye swala zima la upakaji wa rangi Nina uzoefu mkubwa nikiwa na fanya kazi hii nina tumia vifaa Bora na rangi zinazo pendeza kulingana na mteja anavyo taka na nina badilika kulingana na mazingira
Painting
TZ
From TZS 30,000/day
ubungo
10 years
Fundi wa kutengeneza madirisha na milango ya aluminium, pia tunabuni na kutengeneza vyumba kutumia aluminium ndani ya nyumba
Door Installation Window Installation
TZ
From TZS 30,000/day
Mufindi
9 years
mimi ni fundi mwenye uzoefu wa kufanya kazi kuweka masinki chooni na kuweka tailis kwa ubora wa hali ya juu kabisa na kwa kusingatia ubora wa nyumba pamija na choo chako bila ya kusahau majikoni nako tunaweka
Flooring Tiling
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
30 years
Mimi ni fundi wa kuweka tiels na kufanya plastering kwenye nyumba yako nyumba ya aina zote magorofa nyumba za kawaida mashuleni kwenye makampuni na nyumba za nyumbani pamoja na kuweka urembo kwenye nyumba yako
Biogas Installation
TZ
From TZS 40,000/day
Kigamboni
19 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakutosha nina ujuzi wa kuweka Mapaa kwa kutumia mabati ya Msouth na nina mafundi ambao Wana uzoefu na kazi hii na kulifanya paa lako likiwa lina vutia,tuna fika mikoa yote hapa Tanzania Kwa ajili ya kazi hii na mteja kwetu anapewa kipaumbele cha kusikilizwa
Plumbing
TZ
From TZS 100,000/day
Kinondoni
10 years
Mtaalamu wa mambo ya ujenzi wa makazi aliyesomea na mwenye uzoefu wa muda mrefu, kutoka kwenye kusanifu ramani za nyumba, usanifu wa nadharia ya nje ya nyumba na bustani, pamoja na mambo ya makisio na mahesabu ya gharama za ujenzi. Lengo letu ni kukuwezesha kutimiza nyumba ya ndoto yako sasa, bila kujalisha kama ni ya gharama nafuu au mjengo wa heshima.
3D Rendering Building Designing Cost Estimation Landscape Designing Project Management Project Planning Technical Drafting
TZ
From TZS 40,000/day
Ubungo
9 years
Mimi ni msambazaji wa mbao za aina zote za ujenzi zenye dawa Kwa bei nafuu Sana kutoka mafinga na Njombe pamoja na mkoa wa Dar es salaam,Tabora, kahama, mkoa wa pwani unafikishiwa Hadi ulipo
Wood Work
TZ
From TZS 35,000/day
Ubungo
7 years
Naezeka mapaa ya msauzi katika dizaini tofauti kulingana na maelekezo ya mteja mikoa yote Tanzania
Sheet Roofing
TZ
From TZS 30,000/day
Kigamboni
8 years
Naweka tiles katika nyumba aina zote kwa kutengeneza maua tofauti tofauti kulingana na mteja apendavyo
Tiling
TZ
From TZS 40,000/day
Morogor...
12 years
Nina husika na ujenzi kuhakikisha unajengewa nyumba mpaka hatua ya kuhamia pia natengeneza milango ya mbao pamoja na kuchomelea mageti na madirisha ya kisasa (all metal work).
Carpentry Metal Work Welding Tiling House Building
TZ
From TZS 15,000/day
Goba
6 months
Imani kilumule ni fundi mwenye uzoefu wa mda mrefu katika ujenzi na ustadi katika kupiga nyumba rangi Kwa kutumia stadi na uzoefu wa muda mrefu
Tiling Painting
TZ
From TZS 30,000/day
Ilala CBD
10 years
Mtaalam wa ufungaji wa taa za umeme wa jua majumbani na kwenye uzio wa nyumba(fence) pia nina funga taa kwenye bustani ambazo Zina tumika kama mapambo pia tuna kuuzia vifaa ambavyo ni imara kabisa na vinavyo dumu Kwa muda mrefu
Welding Wiring Waterproofing
TZ
From TZS 30,000/day
Temeke
8 years
3 months
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakutosha katika swala zima la uchomeleaji wa mageti,magrili, madirisha na vitanda nina uzoefu wa kutosha na nina tumia vifaa vilivyo Bora na vinavyo niwezesha kufanya kazi Kwa ufanisi, pia kwa huduma hii naweza kuku fikia popote pale Tanzania na tuna hakikisha mteja wetu anapata kile kilicho bora na kufurahia kazi zetu.
Steel Fixing Door Installation Gate Installation Welding Window Installation
TZ
From TZS 40,000/day
Temeke
11 years
Mimi ni mtaalam wa kuweka tiles majumbani Kwa kuzingatia ubora wa kisasa na niko na uzoefu wa kutosha katika swala zima la uwekaji wa tiles majumbani na maofisini pia nina msikiliza mteja Kwa kile anacho kihitaji na nina hakikisha kazi inakuwa ya viwango vya hali ya juu.
Tiling
TZ
From TZS 30,000/day
Amani
15 years
Mimi ni fundi ninaye yanya upauaji wa nyumba kwa kutumia bati ainazote na nina uzoefu wa zaidi ya miaka 14 katika ufanyaji wa kazi hii na nimefanya kazi nyingi mkoa wa Dar es slaam na mkoani Morogoro na baei zetu ni poa kabisa
Sheet Roofing Shingle Roofing
TZ
From TZS 40,000/day
Temeke
9 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakutosha kwenye swala zima la uwekaji wa mifumo ya umeme kwani nina uelewa wa kutosha kuhusu swala zima la ufungaji wa bomba za umeme na uwekaji wa box pamoja na kuweka wiring kwenye nyumba Kwa kutumia design za kisasa zaidi
Wiring
TZ
From TZS 30,000/day
Ilala
12 years
3 months
Fundi wa gypsum natengeneza maua ya aina zote kupendezesha nyumba
Gypsum Decoration Tiling
TZ
From TZS 50,000/day
Goba
6 years
Mimi ni fundi ninaye husika na finishing ya nyumba yako kwanzia kwenye plastering simmimg painting na urembo kwenye nyumbba yako kwa bei nafuu na kwa ubora na uzoefu mkubwa kabisa katika kazi hii ninauzoefu za miaka 6 katika kazi hizi pia nimefanya kazi nyingi na watu na watu wamezikubali kazi zangu
Painting Plastering
TZ
From TZS 75,000/day
Ubungo
13 years
2 months
As a professional quantity surveyor, I lead a team of designers and builders to construct modern, high-quality homes in Tanzania and across East Africa. We use the most suitable technology to ensure construction meets the required drawings with high quality and accuracy. Our goal is to provide safe and comfortable residences for our clients, completing projects on time and within budget.
Flooring Tiling Landscaping Painting Waterproofing Bricklaying Masonry Plastering Stonework
TZ
From TZS 100,000/day
Ilala
7 years
Abdallah Idd Wachaka, born and educated in Dar es Salaam, specializes in designing and constructing houses. With a keen eye for detail and a commitment to quality, he has established a reputation for creating innovative and durable residential structures that meet the needs of modern living.
Concrete Curing Concrete Mixing Concrete Work Building Setting Out Blocklaying Bricklaying Masonry Plastering Stonework Septic Installation House Building
TZ
From TZS 40,000/day
Arusha
14 years
Mimi ni mtaalamu wa mifumo ya umeme nina uzoefu wa kutosha nikiwa nafanya kazi hii na nina ambatana na mafundi walio bobea kuhakikisha kazi ina kuwa ya ubora na ya viwango vya hali ya juu pia nina toa hudu kama vile kuchimbia bomba za umeme, kufanya wiring pamoja na kuweka cctv camera
Electricity Safety Security Systems
TZ
From TZS 30,000/day
Temeke
5 years
Fundi wa kupanga na kutengeneza maua kwa kutumia paving blocks
Paving
TZ
From TZS 15,000/day
dar
5 years
mimi ni fundi mwenye uzoefu katika uwekaji wa njia za maji taka pamoja na njia za maji safi kwa ajili ya jikoni au majia kwaajili ya kuflashi chooni nina uzoezo wa miaka zaidi ya mitano
Plumbing
TZ
From TZS 40,000/day
Chunya
23 years
Mimi ni fundi ujenzi mwenye uzoefu wa kutosha nikiwa na fanya kazi hizi nina badilika kulingana na mazingira ya kazi pia nina tumia ubunifu na njia za kisasa ili kuhakikisha kazi ina fanyika Kwa ubora wa hali ya juu na Kwa aajili ya huduma hii naweza kukufikia popote pale Tanzania na nchi jirani za Africa
Flooring Plastering
TZ
From TZS 10,000/day
Town
15 years
Tunahakikisha nyumba Yako haito vuja Kwa upauaji Bora kutoka kwetu tuna paua mabati ya aina tofauti tofauti Kwa nyumba zote na maghorofa
Sheet Roofing Shingle Roofing Tile Roofing
TZ
From TZS 40,000/day
Ilemela
15 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wakuweka mabomba Kwa ubora wa kisasa na Kwa kutumia vipimo, pia nina mafundi ambao wana ujuzi wa kuweka mapomba na wamesha fanya kazi sehemu nyingi hapa Tanzania.
Plumbing
TZ
From TZS 25,000/day
Dar es ...
5 months
Mimi ni Mkami fundi wa kutengeneza biodigester ambao ni mbadala wa septic tank ambazo hutumia pesa kidogo na hudumu Kwa mda mrefu bila yakujaa
Door Installation Gate Installation Glazing Window Installation
TZ
From TZS 30,000/day
Kinondoni
5 years
Natengeneza milango na madirisha ya aluminium kwa ajili ya nyumba na maofisi mbalimbali popote nchini
Window Installation
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
10 years
Fundi wa kuweka tiles katika nyumba kwa maua yote, pamoja na kujenga nyumba kwa matofali.
Tiling Masonry
TZ
From TZS 30,000/day
Ubungo
30 years
Mimi ni fundi wa kupauwa nyumba aina zote ana nyumba za kawaida mna uzoefu wa zaidi ya miaka kumi na tano nipo dar es salaam nimefanya kazi hii nyingi sana ya dar es salaam kasi nzuri na pia dar es salaam tunafika
Gypsum Decoration Sheet Roofing Shingle Roofing
TZ
From TZS 40,000/day
Mafinga
11 years
Mimi ni fundi ninayehusikana nimekufanya ujenzi wa nyumba yako kuanzia kwenye msingi mpaka mwisho wa kupauwa kufanya skiming kwa ubora kabisa
Sheet Roofing Plastering House Building
TZ
From TZS 30,000/day
Ilala CBD
10 years
Mimi ni mtaalam wa ufungaji wa taa za umeme wa jua majumbani na kwenye uzio wa nyumba(dance) pia nina funga taa kwenye bustani ambazo Zina tumika kama mapambo pia tuna kuuzia vifaa ambavyo ni imara kabisa na vinavyo dumu Kwa muda mrefu
Solar Electricity
TZ
From TZS 15,000/day
Mto wa mbu
6 months
Mini ni fundi wakutrmgeneza mashimo ya majitaka Kwa njia ya kisasa amabayo itamfanya mtumiaji asiingie garama Zaid baada ya kutengeneza Kwan Lina tengenezwa Kwa matofali ya kisasa na maalumu kwaajili ya mashimo hayo ya maji taka
Door Installation Gate Installation Glazing Window Installation
TZ
From TZS 45,000/day
Ubungo
10 years
Fundi mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 9 katika ufundi bomba na uashi. Amepata mafunzo katika vyuo vya VETA na Arusha Technical College. Ana sifa kubwa kwa ubora wa kazi zake Dar es Salaam.
Plumbing Masonry Drainage Installation Septic Installation
TZ
From TZS 10,000/day
Town
15 years
Ustadi na uzoefu wa Hali ya juu kuhakikisha nyumba Yako haito vuja Kwa upauaji Bora kutoka kwetu tuna paua mabayi ya Sina tofauti tofauti Kwa nyumba zote
Sheet Roofing Shingle Roofing Wood Work
TZ
From TZS 50,000/day
Goba
4 years
Fundi joseph mfanyakazi decoration kwenye nyumba yako nje na ndani kwenye kuta kwa kutumia sementi na mchanga painting kwenye nyumba ya kuweka tailis kuhusu zaidi ya miaka minne
Tiling Painting Plastering
TZ
From TZS 35,000/day
Kigamboni
8 years
Nina tengeneza mabanda ya kuku ya kisasa na yanayo dumu kwa muda mrefu pia mabanda yangu yana uwezo wa kubeba kuku zaidi ya mia moja na nina tengeneza mabanda ya aina zote kama vile mabanda ya mbao na mabanda ya matofali na nina zingatia ubora na ubunifu wa kisasa
Building Designing
TZ
From TZS 30,000/day
Temeke
9 years
Mimi nifundi ninaye jihusisha na swala zima la uwekaji urembo kwenye nyumba Kwa kutumia mchanganyiko wa cement na mchanga Kwa ubunifu wa hali ya juu na nina uzoefu wa kutosha nikiwa na fanya kazi hii.
Plastering
TZ
From TZS 40,000/day
Iringa ...
10 years
2 months
Sisi NaseTech Enterprises ni wataalamu wa mifumo ya umeme wa majumbani, viwandani na umeme wa jua(Solar) CCTV Cameras, Alarm systems,Networking, Electric fence. Huduma zetu zinakufikia popote pale ulipo Pia tuna kuuzia vifaa ambavyo ni imara kabisa na vinavyo dumu Kwa muda mrefu
Solar Electricity
TZ
From TZS 50,000/day
Ilala
15 years
Mimi ni fundi niliye na ujuzi kwenye swala zima la finishing ya tiles na marble, Nina zingatia ubora na viwango vya kisasa zaidi ili kuhakikisha nyumba ina pendeza na pia huduma hii inapatikana popote pale Tanzania na nchi jirani.
Tiling
TZ
From TZS 10,000/day
Town
15 years
Kwa uwekaji wa njia za maji kwenye nyumba Yako au Kwa ubora wa Hali juu Kwa kitumia vifaa inara na njia za kisasa kabisa
Plumbing