TZ
From TZS 30,000/day
Gongola...
13 years
6 months
Nina jihusisha na uwekaji wa tiles majumbani kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa pia kazi zangu zina zingatia vipimo na zina mvuto mzuri na nina uzoefu wa muda mrefu kwani nime fanya kazi na watu wengi tofauti tofauti pia namfikia mteja wangu popote pale Tanzania.
Tiling Plastering
TZ
From TZS 20,000/day
Town
1 Years
No Skill Listed
TZ
From TZS 50,000/day
Mvomero
5 years
Mimi ni fundi ninaye husika na ujenzi wa nyumba katika nynja ya kupandisha matofali na kufunga lenta na pia nafanya gypsum designing na kupaua nyumba yako kwa mabati aina zote na nafanya kazi hizi kwa uaminifu na ubora mkubwa kabisa na kwa bei ambayo ni nafuu kabisa
Gypsum Decoration Sheet Roofing Shingle Roofing House Building
TZ
From TZS 40,000/day
Kinondoni
9 years
Mimi ni fundi mwenye uzoefu wa muda mrefu Nina ujuzi wa kuweka tiles na urembo Kwa kutumia tiles kwenye nyumba yako, Nimesha fanya kazi sehemu nyingi hapa Tanzania na zote zimekuwa katika ubora wa hali ya juu pia gharama ni nafuu kabisa Kwa wanao hitaji huduma hii
Tiling
TZ
From TZS 40,000/day
Temeke
34 years
Ninahusika na kazi za Upigaji wa plasta pamoja na uwekaji wa urembo kwenye Kuta kwa kutumia cement na mchanga Ninauzoefu wa kufanya kazi ndani ya Dar es Salaam,mikoa mbali mbali ndani ya Tanzania
Tailoring Plastering
TZ
From TZS 40,000/day
Mpwapwa
24 years
Mimi ni mtaalam wa kupaka rangi majumbani kwa kuzingatia ubora wa kisasa na kwa kuzingatia umakini wa hali ya juu pia nina ambatana na mafundi wenye uzoefu na walio bobea kwenye swala zima la upakaji wa rangi na kuhakikisha mteja ana ridhishwa na kazi zetu pia tuna zingatia muda wa kuanza na kukabidhi kazi kama tulivyo kubaliana na mteja wetu.
Painting
TZ
From TZS 40,000/day
Iringa ...
11 years
5 months
Sisi NaseTech Enterprises ni wataalamu wa mifumo ya umeme wa majumbani, viwandani na umeme wa jua(Solar) CCTV Cameras, Alarm systems,Networking, Electric fence. Huduma zetu zinakufikia popote pale ulipo Pia tuna kuuzia vifaa ambavyo ni imara kabisa na vinavyo dumu Kwa muda mrefu
Solar Electricity
TZ
From TZS 90,000/day
Madale
10 years
Dynamic and creative engineer with over 6 years’ hands-on experience in overseeing all aspects of civil infrastructural engineering projects from inception to completion. Adept at leveraging expertise in process optimization and project management to facilitate safe and cost-effective operations.
architectural Bricklaying Carpentry civil_engineer concrete_work exterior_painting Flooring foundation_repair guttering interior_painting Landscaping Masonry Plastering Plumbing project_manager repairs roofing septic_systems Stonework Tiling Waterproofing Welding Wiring woodworking
TZ
From TZS 40,000/day
Kwimba
7 years
Mimi ni fundi mwenye ujuzi wa kisasa na niliye bobea katika swala zima la kufunga mifumo ya umeme majumbani na maofisini, pia nina funga mifumo ya ulinzi kama vile cctv camera pamoja na fensi ya umeme pia mteja wangu anapatiwa ushauri kwa kile kilicho bora.
Electricity Safety Security Systems
TZ
From TZS 25,000/day
Nyamagana
6 years
Fundi wa kuweka mapambo katika nyumba
Gypsum Decoration
TZ
From TZS 30,000/day
Kahama
6 years
Naweka tiles katika nyumba kwa njia ya kisasa kabisa na kufanya nyumba ipendeze kwa maua mbalimbali.
Tiling
TZ
From TZS 30,000/day
Chemba
11 years
Nina toa huduma ya ujenzi wa mabanda ya kuku wa kienyeji na kuku wa kisasa kwa kuzingatia ubora na ubunifu wa kisasa na kufanya banda lako livutie pia nina uzoefu wa kutosha kwani nimesha tengeneza mabanda ya aina nyingi sehemu nyingi na kwa kuzingatia ubora na mabanda yana dumu kwa muda mrefu.
Building Designing
Builder Experience
Builder Experience
Builder Modified
Builder Modified
Builder Rate
Builder Rate - slider
Tshs.10,000/= β€” Tshs.200,000/=
Builder Gender
Builder Gender
Builder Verification
Builder Verification
More
Builder Type
Builder Type
Builder Points
Builder Points
Builder Skills
Builder Skills
More

Join Membership

Join our membership to become a part of our expansive platform dedicated to residential development in Africa. Gain access to house plans, informative articles, vetted builders, plot listings and construction materials!

Eng. Lwifunyo Mangula
Payment Challenges? WhatsApp Admin